relax
Anakumbusha changamoto za utotoni na maisha ya kujikaza—kutembea shule, kuomba mahitaji na kulala njaa. Maisha yanatufundisha kuwa imara 💪🏾 #Maisha #Ukweli #GSADIKI @GSADIKI